Filamu mpya toka kwa Mwanadada RIYAMA - "INAWEZEKANA". Ni stori
inayomuhusu msichana bikira aliyepata maambukizi ya UKIMWI bila
kujaamiiana, lakini mwisho wa siku akaja kuwa na familia yake na kupata
mtoto. Filamu hii si ya kukosa...Jipatie nakala yako sasa..!
No comments:
Post a Comment