Daladala
moja mali ya UDA inayofanya safari zake kutoka Makumbusho kwenda Kimara
mbezi jijini Dar es salaam imesababisha ajali ya magari matatu kwa
wakati mmoja eneo la Shekilango na kuzusha taharuku kubwa kwa abiria
waliokuwa wamepanda daladala hiyo ya UDA huku wengine wakishikwa na
wasiwasi kutokana na mshtuko na wengine wakijikuta wakitokea madirishani
badala ya mlangoni huku mmoja wa dereva wa gari lililogogwa akidai
dereva wa UDA alikuwa amesinzia.
No comments:
Post a Comment