WAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAKE WATEMBELEA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR
Mkurugenzi
wa Idara ya Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Jamala Adam Taib akimueleza
Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif kazi zinazofanywa na Idara hiyo alipofika
ofisini kwake kuanza ziara ya kutembelea Hospitali hiyo.
Waziri wa Afya Mh. Rashid Seif
akiongozana na Naibu wake Mh. Mahmoud Thabit Kombo wakitembelea eneo la
Hospitali ya Mnzammoja katika ziara yake ya kutembelea Hospitali hiyo.Mkuu wa kitengo cha maradhi ya
kisukari katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja Dkt Miskia Ali akitowa
maelezo kwa Waziri wa Afya juu ya kadhia ya maradhi hayo.Waziri wa Afya akipata maelezo
ya shughuli za Maabara kutoka kwa mtaalamu wa Maabara wa Hospitali Kuu
ya Mnazimmoja Dkt. Marijani.
No comments:
Post a Comment