Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela.
MSANII anayefanya
vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ambaye amekuwa akidaiwa kutumia
madawa ya kulevya maarufu kama unga, amesema utofauti wa muonekano wake
kwa sasa siyo kwa sababu ya uteja, bali inatokana na umri wake kusogea
“Unajua
mtu unavyozidi kukua na muonekano nao unabadilika, lakini itafikia
kipindi nitakuwa sawa tu hivyo naomba mashabiki wangu waelewe kwamba
mimi siyo teja na sijawahi kutumia ‘unga’ hizo ni habari za kizushi
tu,”alisema Mlela.Hivi
karibuni Mlela alitupia picha kwenye mtandao wa Instagram ambapo wadau
mbalimbali walionekana kushangazwa na muonekano wake na kumfananisha na
mateja.
No comments:
Post a Comment