Mtandao
wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya
matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao
pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
List
imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na
mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola
bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
No comments:
Post a Comment