Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg(wa pili kulia),Meneja
mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller(wa pili kushoto) na Afisa Mauzo
wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari wakiwa wamebeba vikombe
vitakavyotolewa kama zawadi wakati wa fainali za kumtafuta dereva bora
wa mwaka wa kuendesha Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13
mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kulia ni
Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margaret Legga. Afisa
Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari(kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza fainali za
kumtafuta dereva wa mwaka wa Scania katika shindano litakalofanyika
Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es
Salaam.Kutoka kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margeret Legga,
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg na Meneja
mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller.
No comments:
Post a Comment