Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia usiku wa kuamkia jana.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na
marehemu Kanumba ambazo ni Hero of the church, Dar to lagos,fake
pastor n.k.
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.
No comments:
Post a Comment