Friday, 31 October 2014
Ali Kiba kafata nyayo za Diamond kwa kutoa Tshirt hiziiii??? Zione hapa
Hit maker wa ngoma ya ‘Mwana’ Ali Kiba ambaye juzi kati kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta aliweza kudhihilisha kuwa amekifuta kiti chake alichokiacha kwa muda mrefu kwa kumfunika mkali mwenzie Diamond Platnumz. Mbali na kwamba ni vitu kibao anategemea kuvifanya Ali Kiba ila tayari ameshaanza kutumia sura yake kwenye T-shirt zake yote ni ku-step a head katika kujiingizia kipato, but BK Cop alimtafuta Ali Kiba ili kujua kama hii ni project endelevu na ni lini rasmi itaanza kutoka mtaaniya ila Ali K alikuwa bize kidogo. Usicheze mbali na Baabkubwa litakupa info’s zote kuhusu project hiyo.
unaweza Soma : Hatimae aina ya madawa aliyokamatwa nayo chidi benz yajulikana, hiki ndicho alichokisema kamanda Nzowa.
Unaweza soma : Jinsi Bilionea Wa Madawa ya Kulevya Bongo ‘Chonji’ Alivyokamatwa Huko Magomeni..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment