TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana
mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli
kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa
Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa
kuthamini mchango wake kwenye jamii…Honorary Phd hata Raisi wetu
anayo…Alongside DIAMOND mwingine
atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi
Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!!
Ningependa kuwakaribisha wale Wazomeaji woooteee wenye sauti mbaha
kabisa waweze kufika kwenye Viwanja vya UDSM kushuhudia Tukio la
Kihistoria kwa Mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA
Vimemfikisha hapa.. SHKAMOO DR.NASIBU ABDUL au Pengine DR.DIAMOND
PLATNUMZ au ukitaka swaga DR.PLATNUMZ BABY! Sky is never the
limit!Hongera kwa Mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo
No comments:
Post a Comment