Mtoto Zabibu Salum Abdalah
---------------
Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.
MZAZI wa
mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa
kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha
kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Alisem
abaada ya tukio hilo,walianza kuhangaika kutafutamatibabu katika
hospitali mbalimbali ,lakini hadi leo juhudi zao zimegongamwamba ,baada
ya kuandikiwa barua ya Rufaa inayowata kakumpeleka kijana wao huyo
katika Hospitali ya TaifaMuhimbili.
Alisema
kutokana na wanafamilia hao kutokuwa na uwezo kifedha taarifa hiyo
imewakatisha tamaa ya kuokoa maisha ya kijana wao huyo hali ambayo
imewafanya kuwaangukia Watanzania wenzao,ili kuomba msaada huo utakao
jumuisha nauli ya kutoka Wilayani Tunduru mkoani
Ruvuma kwenda Jijini Dar es Salaam, pamoja na gharama za matibabu.
Ruvuma kwenda Jijini Dar es Salaam, pamoja na gharama za matibabu.
Bi Zainabu aliendelea kufafanua kuwa baada ya kuandikiwa barua hiyo
,yeye na mzazi mwenzie , walienda katika ofisi ya MkuuwaWilaya , ilikuomba msaada la kini waliambulia kupewa barua ya utambulisho wa kuwaomba msaada wananchi mjini humo,
,yeye na mzazi mwenzie , walienda katika ofisi ya MkuuwaWilaya , ilikuomba msaada la kini waliambulia kupewa barua ya utambulisho wa kuwaomba msaada wananchi mjini humo,
Lakini hadi sasa hakuna msaada wowote walioupata kupitia mfumo huo wa barua.
Alisema kwa mtu atakaye guswa na tukio hilo anaweza kutuma msaada
wake kwa kutumia Simu na mba 0685179479 ya animtandao wa Airtel money.
wake kwa kutumia Simu na mba 0685179479 ya animtandao wa Airtel money.
Akizungumzia tukio hilo ,Mganga Mkuu wa Hospitali ya wilaya yaTunduru
Dr. Alex Kazula, pamoja na kuthibitisha kuwepo kwa tukio la mgonjwa huyo,
alisema kuwa Hospitali yake imechukuwa uamuziwa kumpatia Rufaa hiyo,
baada ya maafisa tabibu waliopo Hospitalini hapo kutokuwa na ujuzi wakutibu maradhi hayo.

No comments:
Post a Comment