Msanii wa filamu Bongo Wema Sepetu.
MAMA wa
aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa
amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi wake,
Nasibu Abdul ‘Diamond’.Mama Kanumba alifunguka hayo hivi karibuni
alipokuwa akipiga stori na mwanahabari wetu ambapo alipotakiwa kutoa
ushauri juu ya penzi la Wema aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanaye, mama huyo
alisema azae haraka kwani umri haumsubiri.
“Kanumba
hakuwahi kunitambulisha mwanamke yeyote zaidi ya Wema na aliapa kumuoa,
akaniambia hawezi kuniletea mwanamke mwingine, nimshauri Wema azae na
bebi wake kwani mtoto ni faraja kwake,” alisema mama Kanumba.
No comments:
Post a Comment