
Friday, 24 October 2014
ANGALIA PICHA ZA MADHARA YA NGUO ZA MTUMBA

Ni
hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala
haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za
Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si salama kwa
asilimia mia moja,na misako mbalimbali ilifanyika kwenye maeneo maarufu
kwa kuuza aina hiyo ya Nguo lakini baadhi ya wananchi ama kwa kudharau
matamko yanayotolewa na Serikali pamoja na wahuzaji waliendelea kufanya
biashara hiyo kwa hiyo ni wito wetu kwenu mwambia Dada,Mpenzi
wako,Shangazi,Rafiki yako na mtu yeyote yule kuwa Nguo hizi za Mtumba
Brazia,Nguo za ndani hazifahi na haya ndio madhara yake ukipenda
kuzitumia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment