Thursday, 18 September 2014
MAPENZI MATAMU:WAPENZI WADONDOKA TOKA GHOROFA YA 6 WAKIFANYA YAO NA KUFARIKI DUNIA!
Binti mrusi wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Anastasia Tutik na mpenzi wake wa kiume toka Mexico aliyefahamika kwa jina la Miguel, wamedondoka toka ghorofa ya 6 walipokuwa wakifanya mapenzi katika kibaraza wakisherehekea kumaliza mitihani yao ya mwishoUnaambiwa kuwa wapenzi hao walikuwa wakisherehekea katika apartment ya bei ghari na hadhi ya kipekee huko Deptford,kusini-mashariki mwa London, wakiwa pamoja na wanafunzi wenzao kutokachuo cha Bellerbys, shule ya kimataifa inayotoza kiasi cha kuanzia £21,000 kwa mwaka.Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa walisikia kishindo kikubwa asubuhi na mapema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment