Diamond platnumz katika ururasa wake wa facebook amepost post ambayo ina mashiko
sana kwa madada wa kibongo wanaojiona wao wako juu sana wanaona wakiza
watapoteza mvuto kwa watu diamond akaamua kufunguka kiivi.Kwa
mtazamo wangu mimi naona kuzaa hakumfanyi mtu azeeke au awe wa
kizamani, ni tabia tu ya mtu mwenyewe.... na ndiomaana dada zetu kama
Beyonce, Nancy sumary, Kim Kardashian na kadharika wana watoto na still
wanafanya vizuri.....Au we mtazamo wako ukoje?
(I believe, bearing
kid (s) doesn't transform a woman being old or being out of
fashion.....it's her natural Behavior...my living proof are, Beyoncé,
Nancy Sumary, Kim kardashan etc.... Isn't it??? Let me hear your views
on this....)
No comments:
Post a Comment