Mtalaka wa msanii mkongwe wa filamu Nuru Nassoro ‘Nora’, Luqman Nassoro amesema anasaka wasichana warembo na muonekano mzuri kuanzia sura hadi shepu kwa ajili ya kufanya nao kazi.
“Kwa sasa nasaka watu ambao naweza kufanya nao kazi za filamu kupitia kampuni yangu na tutakuwa tunatoa filamu zetu, nawasaka wadada wenye muonekano mzuri, hata wababa na watu wazima kwa ajili ya kuendeleza sanaa yetu,” alisema Luqman.
No comments:
Post a Comment