Manager wa Mkubwa na wanae Said Fella amezungumzia taarifa
zilizosamba kuwa msanii wake Bibi Cheka ameacha muziki. Said Fella
amesema taarifa hizi sio za kweli kabisa na kwamba kaka Bibi Atataka
kuacha muziki basi yeye kama manager wake ndiye atatoa taarifa hizo.
Fella ameongezea kuwa Bibi Cheka amekuwa akikutana na changamoto
nyingi kama kusemwa vibaya na watu wa karibu yake kuwa anafanya muziki
na watoto na kukosolewa kuhusu mavazi yake [Jeans] anayovaa kwenye
jukwa.
Bibi Cheka anakuja na wimbo mpya umefanywa na Producer Shirko.
No comments:
Post a Comment