Huu
ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii
maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe
aniita manhattan ya Sinza.
Alipost
hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu
kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno
mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya
manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.
Martin
aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni
hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio
kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye
anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni
wakati hata hawamjui.
No comments:
Post a Comment