Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold
Mine uliopo mkoani Geita. Mgodi huu ni moja ya makampuni yanayowania
tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji.
Mshauri
wa Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine katika masuala ya serikali na
jamii Bw. Clement Msalangi (mbele kwa mbali) akielezea mafanikio ya
mgodi wa Geita Gold Mine katika utoaji wa huduma bora kwa jamii na
uwezeshaji kwa timu ya majaji na sektretarieti iliyofanya ziara katika
mgodi huo.Meneja Mahusiano ya Jamii Bw.
Manase Ndoloma akisisitiza jambo katika kikao kilichoshirikisha uongozi
wa mgodi wa Geita Gold Mine na jopo la majaji na sekretarieti kwa ajili
ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji
iliyotembelea mgodi huo.
No comments:
Post a Comment