MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia.
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja
vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni
ambapo Johari alikuwa amekaa na kruu yake (huku wakigonga ulabu) ndipo
mmoja kati wenzake hao, akagusia stori za Ray kisha Johari alicheka na
kusema ipo siku Ray atarejea katika mikono yake.Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘Ray’.
“Ipo siku ambayo haijulikani tarehe wala mwaka Ray lazima atarudi
katika mikono yangu kwani namfahamu sana Ray kuwa ni mtu wa kuruka
lakini kwangu amefika,” alisikika Johari.
No comments:
Post a Comment