Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi
Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila
msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda
Man kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa
Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment