Kwenye Exclusive interview na msanii Gabu aka Buganya Wa P Unit
kuhusu tetesi za kuvunjika kwa kundi lao mwezi huu, Gabu amesema “Hizi
tetesi zilisamba tu kama Uvumi huko Kenya ila hawana mpango wa kutengana
baada ya Miaka 10 ya kufanya kazi pamoja ingawa wanagombana na kupatana
kama ndugu wanavyoishi.
Gabu pia amethibitisha kuwa P Unit wapo mbioni kukamilisha collabo
kubwa na Yemi Alade na Burna Boy baada ya kutoa wimbo wao mpya wa Weka
Weka.
No comments:
Post a Comment