Baada ya siku chache Madee kuthibisha kuwa kulingana na kalenda ya Tip Top mwezi wa pili ni wa Dogo Janja kutoa wimbo,mambo yameshaanza kunukia.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Janja amepost picha yake iliyoandikwa “Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka totoro“
Picha hiyo imekuwa ikipostiwa na mastaa mbali mbali kuonesha kwamba kuna kitu kinakuja,kama ilivyo desturi ya wasanii wanapotakana kutoa wimbo.
No comments:
Post a Comment