
Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul
Mtenda. “Namshukuru Mungu sikuumia kwa sababu nilikuwa nimefunga mkanda,
lakini kile kilikuwa ni kifo kwangu,” alisema mwakilishi huyo, mmoja wa
wajumbe waliopitisha Katiba Mpya ya nchi inayopendekezwa.
Muonekano
wa gari hilo baada ya ajali. Kutokana na kunusurika huko, Paul alisema
alilazimika kufanya maombi maalum kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa
kumuepusha na kifo, licha ya gari lake kuharibika vibaya.

No comments:
Post a Comment