Aunty Ezekiel na Wema Sepetu |
New
Gossip zinadai kuwa Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wametibuana na sio
best friends tena, habari hizo kwa mujibu wa gazeti moja zinasema chanzo
cha ndani toka kwa wawili hao zinadai kuwa Wema na Aunty walikwaruzana
hivi juzi kati kabla ya Wema Sepetu kwenda nchini China
kibiashara
ambapo bado yupo mpaka sasa na kumtosa shoga'ke huyo Aunty Ezekiel.
Katika safari hiyo Wema ameongozana na Martin Kadinda na Petitman.
Aunty
alipoulizwa na paparazi wa gazeti hilo hakutaka kulizungumzia suala
hilo kwa undani ila alisema kuwa sio kila sehemu lazima aongozane na
Wema kwani yupo busy na kazi na mambo yake binafsi.
No comments:
Post a Comment