Wafanyabiashara hao wakiwasikiliza viongozi wao (hawapo pichani).
Wafanyabiashara
wa Kariakoo jijini Dar es Salaam waliokuwa katika mgomo wa kupinga
matumizi ya mashine za Kodi za TRA (EFD), leo asubuhi wamekutana na
viongozi wao ambapo wamekubali kufungua maduka huku suala lao
likitafutiwa ufumbuzi zaidi.
No comments:
Post a Comment