Amiri Jeshi Mkuu Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
(wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili
kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais)
, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa
vikosi vya Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa
wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na Wakuu
wa majeshi wastaafu.
Aliyeketi wa kwanza
kushoto ni Jenerali Mirishoarakikya, CDF wa kwanza wa jeshi hilo.
waliosimama nyuma toka kushoto ni Jenerali Robert Mboma, Jenerali
George Waitara na Mnadimu Mkuu Mstaafu Luteni Jenerali Martin
Mwakalindile baada ya ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya
miaka 50 ya jeshi hilo Mkuu wa majeshi wa kwanza
Jenerali Mirisho Sarakikya akipongezwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue wakati wa kupiga picha za kumbukumbu. Kulia ni Makamu wa
Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akifuatiwa na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu
kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) ,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu
Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya
Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na Majenerali
mbalimbali Picha ya pamoja na Wakuu wa
vikosi vilivyoshiriki zoezi la ufungaji wa zoezi la medani la
maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo Picha ya pamoja na Wakuu wa vikosi mbalimbali Wakuu wa vikosi mbalimbali vya infantria vya JWTZ Na Wakuu wa vikosi vya mizinga Kumbukumbu na Wakuu wa vikosi vya vifaru Picha na Viongozi wa vikosi vya Wahandisi medani Picha na Wakuu wa vikosi vya mawasiliano Picha ya pamoja na Maafisa wa ngazi mbalimbali washiriki wa zoezi Na Makamanda mbalimbali walioshiriki zoezi hilo Kumbukumbu na Makamanda mbalimbali walioishiriki zoeziAmiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu
kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) ,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu
Mkuu wa JWTZ , Luteni Jenerali Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya
Ardhini wa JWTZ Meja Jenerali Salum Kijuu katuika picha ya kumbukumbu
na Maafisa na askari walioshiriki zoezi Picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari walioshiriki zoezi Picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari walioshiriki zoezi Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari wa kikeAmiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza Maafisa na askari wa kike kwa kushiriki vyema zoezi hiloAmiri Jeshi Mkuu akiagana na
Kamishna Jenerali wa Magereza Afande John Minja ambaye alihudhuria
sherehe hizo pamoja na Kamishina Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Bw.
Sylvester Ambokile (mwenye tai nyekundu)Amiri Jeshi Mkuu akiagana na Naibu Inspekta Generali wa Polisi Afande Abdulrahman KanikiVicheko na bashasha vinatawala
wakati Amiri Jeshi Mkuu anapoondoka eneo la Langarurusu huko Monduli,
Mkoa wa Arusha, baada ya kuongoza zoezi la medani la maadhimisho ya
miaka 50 ya JWTZ lililofana sana.
No comments:
Post a Comment