Mwimbaji wa wimbo wa Woju na Laye ‘Kiss Daniel’ ameelezea ajali aliyopata jana usiku kwa mashabiki wake kupitia instagram nakushauri watu wasitumie simu zao wakati wanaendesha gari.
Kiss Daniel aliandika ”
Usiguse simu yako wakati unaendesha gari,nimegonga gari jana usiku, asante kwa raia waliotusaidia kutoka kwenye gari, asante kwa washkaji zangu waliopiga kelele kabla hatujapata ajali ”
” Morning guys.. don’t press ur phone while driving fam, it’s never a good idea. Crashed into a canal last night @ lekki, all thanks to dese guys and some loyal fans that help get I and my producer out and the car… I wanna say a very big thank u to @djcoublon for screaming like a Yankee baby before the crash.. Bro u nailed it . We thank God, we still alive. So you heard it. Don’t text and drive ”
No comments:
Post a Comment