Producer mkali ambaye anakubalika kwa
sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter
amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana
daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.:
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi uwo.:
No comments:
Post a Comment