Meneja wa
msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame
Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha
kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.
“Ni kweli
Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema
Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi
Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo
wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”
No comments:
Post a Comment