Sekunde,
Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika saba sasa
imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)
ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani Tarehe
18/08/2025.
Unakumbukwa na
wengi sana maana ulikuwa ni mhimili mkuu katika familia, kipekee ni
Mke wako Mary O Nathan na watoto wako James Nathan, Mrs Stella Kaluse,
Lloyd Atenaka, Dossa Mroki,Freddrick (Kajiru) Mroki, Onesmo Nathan,
Thomas Nathan, Daniel Nathan, Kyaze Nathan, Namche Mroki, Kille Nathan
na Mroki Mroki na Wakwe zako wote.
Pia unakumbukwa
sana na Wajukuu zako Kidai Kaluse, Shauri Kaluse, Mfaume Kilangi,
Shauri James, Mwanaamani James, Hellena James, Nuru James, Maria Kaluse,
Ludao Kaluse, Kilave Atenaka, Maria Atenaka, Victoria Dossa,
Doureen Atenaka, Erick Mushi, Beatrice Mroki, Timothy Tomas, Timothy
Kajiru, Imanuel Kajiru, Elizabeth Kajiru, Timothy Kille, Maria Thomas,
Irine Atenaka, Anjela Chistian, Glory Mroki, Nathan Kyaze, Nathan Dossa,
Dinner Onesmo,Digna Onesmo, Debora Daniel na Leonard Kyase pamoja na
Vitukuu wako pia kutoka kwa Mwanaamani, Kidai na Shauri.
Wananchi na
majirani zako wa pale Kijiji cha Kipera , Kitongoji cha Kinyenze,Kata
na Tarafa ya Mlali , Wilayani Mvomero mkoani Morogoro pia wanakukumbuka sana pamoja na wote wa Ugweno, Kilimanjaro.
Tunakumbuka
maneno yako ya Mwisho uliotuachia watoto wako kuwa "TUPENDANE,
TUSAIDIANE na TUSHIRIKIANE," baba hakika hili linatendeka na tupo na
umoja uliotujengea na tunajivunia hilo.
Tunazidi kukuombea Baraka na pumziko jema maana sote uliotuacha tutakufata kama tulivyo kufuata hapa duniani.
Jina la Bwana Lihimidiwe Amina.
No comments:
Post a Comment