Mwenyekiti
wa Kikundi cha Tumaini Saccos, akiowanesha namna sanduku maalumu la
kutunzia taarifa za kikundi chao linavyolindwa, wakati maofisa wa
Kampuni ya Bia Tanzania walipokwenda hivi karibuni kukagua miradi
mbalimbali ya wananchi wilayani Arumeru inayowezeshwa na Taasisi ya ACE
AFRIKA kwa ufadhili wa TBL.
Mwanachama
wa Tumaini Saccos ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa kikundi hicho
akionesha baadhi ya shughuli anazozifanya mbazo amewezeshwa na ACE
AFRICA chini ya ufadhili wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Maofisa wa
TBL walikwenda hivi karibuni kukagua miradi ya kikundi hicho. Mkulima
wa bustani ya ndizi na mboga za majani, Isaya Supuk wa kijiji cha
Olmotonyi, wilayani Arumeru, Arusha akiwaonesha maofisa wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL) na ACE AFRICA namna shamba lake lilivyostawi wakati
maofisa hao wa TBL walipokwenda hivi karibuni kukagua shughuli hizo
zilizofadhiliwa na na kampuni hiyo.Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi akizungumza na
Mkurugenzi wa ACE AFRICA (TANZANIA), Joanna Waddington ofisini kwake
Arusha, hivi karibuni kuhusu ufadhili wao unaowezeshwa na taasisi hiyo
kwa wananchi wa Arumeru katika shuguli mbalimbali za maendeleo..
No comments:
Post a Comment