Gari la kwanza aina ya mfumo wa 3D la kuchapishwa na ambalo liaendeshwa na dereva, limezinduliwa mjini Chicago.
Ndio ...Ni kama sasa
tunaweza kuchapisha magari....Gari hilo kwa jina, Strati lina sehemu 40
na ilichukua masaa 44 kulichapisha kwa kutumia betri.
Kampuni
iliyotengeza gari hilo Local Motors, inasema kuwa itaanza kuliuza nchini
Marekani baadaye mwezi huu. Kwa taarifa hii na nyinginezo tazama makala
hii
No comments:
Post a Comment