Mabishano
ya mashabiki kuhusu ni nani mkali kati ya Diamond na Ali Kiba
ulionekana kufifia kwa muda kidogo kwenye media lakini ukweli ni kwamba
pressure iliyoko mitaani kiuhalisia kwa wasanii hawa inafanya mada hiyo
kutoepukika kirahisi.
Mtandao
wa Bongo5 umeibua gumzo jingine baada ya kufanya mahojiano na promota
wa muziki na filamu anaefanya kazi zake nchini Uingereza, Hadija Seif,
maarufu kama Dida Fashion na alisema nchini humo Ali Kiba anapendwa
zaidi ya Diamond.
“Sio
sasa hivi tu, tangu zamani to be honest kwa UK Alikiba yupo juu zaidi.
Sijui kwanini lakini kwa watu wenyewe ukisema labda kati ya Ali kiba na
Diamond hapo nani aletwe, honestly watu wa UK yaani Ali kiba sijui
aliwafanya nini lakini Alikiba UK is the best.” Alisema promota huyo.
Hata hivyo, ripoti hiyo ilipokelewa kwa hisia tofauti mashabiki wa muziki.
Mtu
mmoja anaetumia jina la Blacksailors Jangombwe kwenye Facebook, yeye ni
mtanzania anaeishi Uingereza ambaye alitofautiana na ripoti ya Dida.
Hiki ndicho alichoandika:
“Please
Dida Please!!. If you can't afford to hire someone, doesn't mean he's
not popular then the one you just mention. kuwa mkweli uliweza kumleta
diamond UK before but now you can't,because he's very expensive. Sasa
unaposema UK wanampenda fulani then fulani kwaushahidi upi??. have u
done a survey If YES when and which county in UK. Watu wamejaa kwenye
holli waiting up to 5:00 am. Unafikiri angekua huyo unaemtaja wewe, Nani
UK ungemueka asubiri mpaka saa 11 alfajiri Common Dida. Msema ukweli ni
mpenzi wa mungu. Better to try another way to promote DIDA ENT.
Northampton peoples know better than thaaaaaaat!!!!. Common sister you
know we always love you and support you,don't do that, TheTruth is
matter.”
No comments:
Post a Comment