Diamond
Platnumz ambae kwenye birthday yake hivi karibuni management yake
ilimzawadia gari aina ya BMW X6 ambapo inaaminika amechukua namba hizi
kwa ajili ya mkoko wake aliozawadiwa na atakua msanii wa kwanza kuweka
jina lake badala ya namba kwenye gari.
No comments:
Post a Comment