MTANGAZAJI WA TIMES FM DIDA AINGIA AIBU YA MWAKA UKUMBINI...KIGAUNI CHA MUUMBUA KWA % 99.9
Weka
mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times
FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini
baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC) kisha kuumbuliwa na
kigauni cha kihasarahasara alichokuwa ametupia. Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini
Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’.Tukio hilo lililoibua gumzo lilijiri wikiendi
iliyopita kwenye shughuli ya ya kuzaliwa (birthday) ya shosti wake
ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Mcharuko wa Pwani kupitia Kituo cha
Redio Planet FM cha mkoani hapa, Warda Makongwa
No comments:
Post a Comment