UNAAMBIWA BAADA YA AMBER ROSE KUMTEMA WIZ KHALIFA...HIKI NDIO KIFAA KIPYA CHA WIZ!
Wanasema wawili hawa kuna uwezekano wako kwenye ile time ya
kuonyeshana/kuringishiana au kutaka kuumizana kwamba pamoja na kwamba
hauko na mimi, mimi niko na huyu sasa hivi.
Ni kwamba rapper Wiz
Khalifa na Amber Rose waliokua wanandoa wameachana hivi karibuni baada
ya kukaa kwenye ndoa ya miezi 14 wakati ambapo mtoto wao Sebastian ana
miezi 20 tu.
No comments:
Post a Comment