Kama
unayo kumbukumbu nzuri katika moja ya machapisho ya FichuoTz
tulikuletea habari juu ya ujio wa mwanamuziki David Adedeji Adeleke
(DAVIDO) kutoka nchini Nigeria ambaye analetwa nchini na kituo cha redio
kiitwacho Times Fm.
Sasa
imebainika kuwa Clouds Fm wamedhamiria kuharibu dili hilo la redio
pinzani, na siri hivyo imetolewa na Vinega pamoja na ushahidi wa
barua...Fuatilia walichotuambia hapa...
No comments:
Post a Comment