welcome

you are welcome dj zombie blog, dodoma tanzania. for latest videos, audios and news.

Wednesday, 17 September 2014

BAJAJI VS PICK UP KATIKA ENEO LA JANGWANI

Bajaji ikiwa imepigwa pasi na Gari aina ya Toyota Hilux Single Cabin katika eneo la Jangwani jana jioni. Hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.

No comments: