Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea machapisho toka kwa mwandaaji wa Mkutano
wa viongozi wa dini chini ya taasisi ya Programme for Christian-Muslim
Relations in Africa (PROCMURA) yenye makao yake makuu mjini Nairobi,
Kenya,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa viongozi
wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na
kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar
es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na washiriki wa Mkutano wa viongozi
wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na
kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar
es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa viongozi

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa viongozi

Jakaya Mrisho Kikwete katika pich ya pamoja na wafanyakazi wa hoteli ya
White Sands jijini Dar es salaam wanaowahudumia washiriki wa Mkutano wa viongozi
wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na
kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar
es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence. PICHA NA IKULU
Msiingize dini katika siasa, Rais awaambia mabalozi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amesema kuwa kuna ushahidi sasa unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi
wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wamekuwa wanachaganya dini na
siasa wakitumia dini kuunga mkono baadhi ya vyama vya siasa na shughuli
za kisiasa nchini.
Aidha,
Rais Kikwete amewaomba mabalozi hao “kuiokoa” Tanzania katika majanga
makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini kuendeleza siasa, hatua
ambayo ameielezea kama “njia ya hatari kweli kweli.”
Rais
Kikwete alikuwa anazungumza usiku wa jana, Jumatatu, Oktoba 6, 2014,
wakati wa chakula cha usiku ambacho alikula na viongozi wa dini nchini
ambao wanaendelea na mkutano wao wa mwaka kwenye Hoteli ya White Sands
ya Dar Es Salaam.
Mkutano
huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian &
Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence ni
mwendelezo wa mikutano ya viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam
nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini.
Mkutano wa mwisho ulifanyika mwaka juzi, 2012 kwenye Hoteli hiyo hiyo.
Aidha,
Mkutano huo ambao moja ya wadhamini wake ni taasisi ya Programme for
Christian-Muslim Relations in Africa (PROCMURA) yenye makao yake makuu
mjini Nairobi, Kenya, unahudhuriwa na mabalozi 15 wanaoziwakilisha nchi
zao hapa nchini na mashirika kadhaa ya kimataifa likiwemo lile la Mpango
wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP).
Mabalozi
wanaoziwakilisha nchi zao katika Mkutano huo ni wa Ujerumani, Iran,
Marekani, Norway, Uturuki, Sweden, Canada, Denmark, Finland, Misri,
Qatar, Uswisi, Palestina, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Saudi Arabia
na Umoja wa Ulaya (EU).
Viongozi
wa dini wanaoshiriki katika Mkutano huo wanatoka Zanzibar, Dar Es
Salaam, Mwanza, Morogoro, Mtwara, Lindi, Arusha, Geita na Mbeya.
Akizungumza
kwenye chakula hicho cha usiku, Rais Kikwete aliungana na Mshauri Mkuu
wa PROCMURA ambaye alionya kuhusu hatari za kweli zinazoendelea
kuikabili dunia kwa sababu ya kuingiza dini katika siasa (Politicisation
of Religion) na kuingiza siasa katika dini (Religinasation of
Politics).
Rais
Kikwete amewaambia viongozi hao: “Mwakilishi wa PROCMURA ametoa ujumbe
mzito sana. Ametoa fumbo ambako amewaasa mabalozi wasiingize dini katika
siasa na wasiingize siasa katika dini. Na mimi nataka kuungana naye na
kuwaomba mabalozi waiokoe nchi yetu katika majanga makubwa yanayoweza
kutokana na kutumia dini kuendeleza siasa. Ni njia ya hatari kweli
kweli.”
Ameongeza
Rais Kikwete: “Kuna ushahidi sasa kuwa baadhi yetu, baada ya kushindwa
kutumia ukabila katika kuendeleza siasa, sasa mmegeukia dini.Mnatumia
dini katika kuunga mkono baadhi ya shughuli za kisiasa na baadhi ya
vyama vya siasa.”
Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es Salaam.
7 Oktoba, 2014.
No comments:
Post a Comment