NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI
Mmoja wa
manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric
Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct
24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya
kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia
Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas
kwenda kuungana na ndugu, jamaa na maraf
No comments:
Post a Comment