MSANII MAARUFU WA MAREKANI LADY GAGA AMEPITILIZA UCHIZI SASA, ATEMBEA UCHI MTAANI, TAZAMA SINEMA YA BURE HAPA
Sio
Bongo Tu Wasanii Wanatafuta Kiki Kwa nguvu Mbali Hata Huko Marekani
Wasanii Wanatafuta kiki Kila siku ili Majina yao yabakie midomoni mwa
Watu , Mwanamuziki Mkubwa Lady Gaga Ambae amezoeleka kwa kuwa na
vituko vingi awapo jukwaani sasa amehamishia vituko mtaani baada ya
kunaswa akitembea akiwa amevaa T-shirt tu bila nguo chini kitu
kilichofanya watu kumshangaa kila anapopita....
No comments:
Post a Comment