Sitti Mtemvu
Miss
Tanzania 2014 Sitti Mtemvu atakuwa amewaka historia kwa pengine kuwa
mshindi wa Miss Tanzania aliyewahi kukataliwa zaidi na walio wengi kuwa
hakustahili.
Mara
baada tu ya Sitti Mtemvu kutangazwa mshindi weekend ilopita social
media ukiwemo ukurasa wa Redds Tanzania ambao ndio wadhamini wakuu wa
shindano hilo watu walitiririka muda mfupi kumkataa Sitti Mtemvu kuwa
amependelewa hakuwa na vigezo huku Jihan Dimechk aliyesshika nafasi ya 3
wengi wakisema kuwa ndiye aliyestahili kuwa mshindi hivyo ameonelewa.
Martin Kadinda ambaye
ni mdau mkubwa wa urembo na mitindo nchini alikuwa mmoja wa majaji wa
shindano hilo katika kumtafuta Miss Talent. Martin ameweka wazi pia
maoni yake kuwa Sitti hakustahili kuwa Miss Tanzania 2014, hakuwa na
vigezo. Kadinda aliandika.
"“Daaaaah…
Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not
hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa
majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza kufanya mazuri
Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana…. Ukimind poa ila sio wote
huwa tunakubaliana na matokeo…. Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana
nakublock"
Kadinda
No comments:
Post a Comment