Baadhi ya Polisi wa doria ya Pikipiki wakiwa nje ya kiwanda cha Bora.
Father
Kidevu Blog ilifika eneo la tukio na kukuta watu wakielezea tukio hilo
na kulifananisha na la sinema kutokana na kile walichokiona.
"Tuliona
mzee mmoja tunahisi ni mfakazi wa Bora, alifika na pikipiki hapa, wakati
anataka kuingia ndani wakafika watu wengine wawili katika pikipiki na
kuamuru kupewa begi lile na ghafla mwenda pikipiki akawa anawahoji
inakuaje wanachukua begi hilo ndipo tukasikia mlio wa risasi na bodaboda
yule akaanguka chini wakamsukuma na kuchukua pikipiki yake na kukimbia
nayo," alisema shuhuda yule.
Polisi
ilifika eneo la tukio huku wengine wakiendelea na msako mkali dhidi ya
wahalifu hao wakutumia sihala huku hofu ya kijana yule wa boda boda
kupoteza maisha ikiwa kubwa kutokana na eneo alilopigwa risasi.
No comments:
Post a Comment