Msanii
kutoka nchini Nigeria Davido (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa sehemu ya
VIP na baadhi ya jamaa zake muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja
wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo.
Baadhi
ya mapaparazi wakiwajibika kupata picha za matukio ya ujio wa Davido
kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere muda
mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Nigeria.
Mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha (kushotoi), akifanya mahojiano na Davido muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Mwandishi
wa Habari wa Global Publishers LTD, Musa Mateja (kushoto), akiwa na
Davido muda mfupi baada ya kutua jijini Dar es Salaam.
Davido
akionyesha tisheti yenye maneno ya kauli mbiu ya tamasha la Serengeti
Fiesta 2014, mara baada ya kukabidhiwa na mmoja wa wahusika wa tamasha
hilo.)
Davido
(wa pili kutoka kushoto) akijadiliana jambo na wenzake baada ya kutua
kwenye Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, usiku wa kuamkia leo.
Davido
akizungumza jambo na meneja wake sehemu ya VIP ya Uwanja wa Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kutua nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment