Mume na mke wamejilipua namafuta ya Petrol Mkoani Mtwara baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao wakati wa usiku.
Kamanda wa Polisi alisema vifo hivyo vilitokana na ugomvi wa
kifamilia ambapo Mume huyo aliyetambulika kwa jina la Selsius Kamguna
alimpiga mkewe hadi kupoteza fahamu.
Alisema baada ya kuona mke wake amepoteza fahamu aliamua kuteketeza
nyumba yao kwa moto akitumia mafuta ya petroli wakiwa ndani kitendo
kilichosababisha wote wawili kupoteza maisha,
No comments:
Post a Comment