STAA
wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa
mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule
ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa.
“Mwe-nzangu
naona Bongo Movies kunaelekea kubaya, bora hata nikomae na shule
angalau hata niwe na kitu kingine kichwani nipate mbadala wa sanaa,”
alisema Lulu.
No comments:
Post a Comment