Watoto wawili wa kike wa muimbaji wa Tanzania, Shilole, hawamuiti mpenzi wa staa huyo Nuh Mziwanda ‘baba’ bali ‘uncle’
“Watoto wananiita uncle,” amesema Nuh. “Nafurahi nikiamka asubuhi
‘uncle good morning’, yaani fresh, ‘uncle maji ya kuoga’. Ni watoto
lakini wananipenda, wana love kwangu. Kuna kazi nakuwepo mimi hata
sifanyi, nikitaka maji ya kuoga wananiwekea maji ya moto. Nikiamka
asubuhi chakula naona wananiwekea. Kama Joyce ni mkubwa kidogo so
anaelewa, ananifanyia kila kitu uncle wake. Mimi nawapenda na wao
wananipenda pia.”
Nuh aliiambia Bongo5 kuwa ana mpango wa kumuoa msanii huyo.
No comments:
Post a Comment