Msanii
Kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido' Ameweza kuwashukuru
Watanzania kwa mapokezi waliyompatia pia pamoja na kushare jukwaa moja
na Msanii kutoka Marekani T.I amesema hayo kupitia ukurasa wa Istragram
pindi alivyokuwa anaondoka nchini Tanzania.
"Kwa heri
Tanzania 26464! it was great sharing the stage with trouble man
31...thank you Clouds fm for napkin it possible and bless my brother
@diamondplatnumz for welcoming me well" Aliandika DavidoLicha ya kwamba
Aliweza kupikwa Mikwara na baadhi ya Vyombo vya Habari vya hapa nchi
kuziiwa kufanya show hiyo.
No comments:
Post a Comment