Taswira: Mahakama ya Mwanzo ya Maili Moja, Kibaha – Pwani, miaka zaidi ya 50 ya Uhuru tupo hivi?
Askari Polisi akiwa katika Mahakama ya mwanzo ya Maili Moja, Kibaha mkoa
wa Pwani baada ya kuwafikisha watuhumiwa kwa ajili ya kusikiliza kesi
zao. Picha ndogo ni choo wanachotumia wafanyakazi wa mahakama hiyo.
No comments:
Post a Comment