TIMU ya Manchester United imepokea kipigo
cha mabao 5-3 kutoka kwa Leicester mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa
Uwanja wa King Power leo.
Wafungaji wa Leicester katika mechi hiyo ni
Ulloa (2), Nugent na Cambiasso, Vardy wakati ya Man United yakifungwa
na Van Persie, Di Maria na Herrera.
No comments:
Post a Comment